ZAHARA KITIMA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM MOROGORO MJINI!!

Katibu wa Umoja wa wanawake (UWT) Wilaya Morogoro Mjini Bi. Sija Lukwale (kulia)akimkabidhi fomu Zahara Kitima ambaye ni mgombea ubunge kupitia viti maalum mkoa wa Morogoro leo asubuhi, katika ofisi za CCM Wilaya.

Bi Zahara Kitima akiwa ameshika fomu zake pamoja na mumewe P. F Kitima pamoja na wapambe wake waliomsindikiza kuchukua fomu.
Bi Zahara Kitima akiwa amezungukwa na wapambe wake kabla ya kuchukua fomu leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM wilya ya Morogoro mjini.

Bi Zahara Kitima akiwa katika picha ya mpamoja na waandishi wa habari wa mjini Morogoro leo asubuhi mara baada ya kuchukua fomu za kugombea ubunge viti maalum Morogoro mjini.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. KIJANA BUKUKU HONGERA KWA KAZI NZURI UNAYOFANYA YA KUTEMBEA SEHEMU MBALIMBALI KWA LENGO LA KUHABARISHA WANAJAMII KILE KINACHOTOKEA.Pete Kimath.(MWANDISHI JAMBO LEO MKOANI MOROGORO)

Post a Comment