Lazaro Ndomwa ambaye ni mratibu wa maonyesho ya Sanba na Capoera kutoka Brazil na Afisa katika Ubalozi wa Brazil Nchini wa pili kutoka kushoto akimtambulisha Bw. Fhilip kutoka Mosambique ambaye yuko nchini pamoja na kundi la hilo ambalo ni muunganiko wa wasanii wa muziki wa Banda Samba Brasil na Capoeira linalofanya maonyesha kadhaa muziki wa Samba hapa nchini kwa kushirikiana na kikundi Maisha Music cha hapa nchini.
Leo Julai 15 Kundi hilo linatarajia kufanya Semina katika kijiji cha Makumbusho na baadae usiku watafanya onyesho moja kwenye Hoteli ya Golden Tulip alafu mkesho Julai 16 watafanya semina tena kwenye kijiji mcha Makumbusho na kufanya onyesho lingine la muziki huo usiku kwenye vijiji hivyo vya Mkumbusho
WASANII WA SAMBA KUTOKA BRAZIL KUFANYA MAONYESHO YA SAMBA NA CAPOEIRA JIJINI DAR!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment