Meneja Masoko waShirika la Ndege la Precision Air Emillian Rwejuna (kulia)akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na uzinduzi wa huduma mpya ambayo msafiri anaweza kupata habari za huduma mbalimbali za shirika hilo kupitia simu ya mkononi kwa kutuma neno PW SMS 15700 (katikati) Mkuu wa mfumo wa Mawasiliano wa Shirika hilo Air Gardy Mbala na Mkuu wa Biashara wa shirika hilo Phil Mwakitawa, uzinduzi huo ulifanyika jana makao makuu ya Precision Air Jijini Dar es Salaam.
PRECISION AIR YAZINDUA HUDUMA MPYA ZA TAARIFA KWA NJIA YA SIMU!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment