MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO!!

Mbunge wa Jimbo la Kwela Dkt Christant Mzindakaya (kulia) akibadilishana mawazo leo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Profesa Jumanne Maghembe(kushoto) Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Sophia Simba (kushoto) akibadlishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa (CCM) Zakia Meghji(kulia) leo nje ya ukumbi wa Bunge la Tanzania mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu cha kikao cha thelathini cha mkutano wa Ishirini wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Iringa (CCM) Lediana Mng’ong’o (kulia) akijadiliana jambo leo mjini Dodoma na Mbunge wa viti maalum pia (CCM)Mchungaji Getrude Rwakatare (kushoto) wakati wanaelekea katika kuhudhuria kikao cha thelathini cha mkutano wa Ishirini wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF )Emmanuel Humba (kushoto) akijadiliana na Waziri wa fedha na Uchumi Mustafa Mkulo(katikati) na Waziri wa Sheria na Katiba Mathias Chikawe(kulia) leo nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment