ALIYEKUWA MUUMINI WA KANISA LA KAKOBE AVUNJA UKIMYA!!

Aliyekuwa muumini wa zamani na kufukuzwa kwenye Kanisa la Kakobe (Full Gospel Bible Fellowship la Mwenge Mama Monica Mutasingwa (Kulia) na kushoto ni baba yake mzazi Bwana Tara Sariyael akiongea na waandishi wa Habari ambao hawapo kwenye picha kayikaUkumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam kuhusu uonevu, Unyanyasaji , na uvunjwanji wa Haki za Binadamu unaofanywa na Kakobe akiwa ni kiongozi wa dini,kinyume na neno la Mungu linavyosema,na Uhubiri na Utakatifu anaofundisha Kanisani.
(Picha na Anna Itenda - Maelezo)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. Hayo ni mambo ya kisiasa ambayo wabongo wanayaapply mpaka kwenye dini!Huyo mama kwanini aseme ubaya wa hilo kanisa akiwa nje,kama Mpendazoe alivyokandia ccm wakati amekiama chama?Nakwanini mashitaka ya kuvunjwa haki za binadamu yasiende mahakamani?
    Mimi nadhani,lengo la huyo mama ni kumdhalilisha Kakobe na si vinginevyo!!
    "Wabongo tuache siasa, hii ni nchi inayoongozwa na utawala wa sheria!"

  2. Si siasa bro. Nakushauri wewe mwenyewe nenda FGBH uulize mambo yanavyokwenda ukiwa utabahatika kuwa karibu na mmoja wa wafuasi wake. Tunaweza kulifuata neno la Mungu bila kudhani kuwa leo hii duniani kuna kiongozo yeyote wa kidini binadamu amekamilika. Mungu peke yake ndiye amekamilika. Pia jiulize kwa nini baadhi ya wakatoliki waliokwenda FGBH wameanza kujiengua? Mimi binafsi namheshimu Kakobe ila nasema hata yeye atakuwa wa kwanza kukuambia kuwa hajakamilika bali anafanya jitihada ya kukamilika kwa kufuata mafunzo ya biblia huku akiwa na majukumu mengi sana. Kwa hivyo tumsikize Monica kwanza halafu ndipo tumhukumu.

Post a Comment