Warembo wa kanda ya Miss Higher Learning 2010 mazoezini!

Baadhi ya warembo wa Kanda ya Elimu ya juu (Miss Higher Learning) wakiwa katika picha ya pamoja mazoezini katika ukumbi wa Club Billicanas jana jioni, Shindano hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya Elimu ya juu linatarajiwa fanyika tarehe , Julai 22.2010 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Wadamini wa Shindano hilo ni VODACOM TANZANIA , CONDY BUREAU DE CHANGE, MADDY BUREAU DE CHANGE Pamoja na REDDS PREMIUM COLD.

Warembo wa Kanda ya Miss Higher Leaning wakiwa katika picha ya pamoja.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment