MWINGINE AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE SEGEREA!!

Mtalaam Mshauri fani ya umilikaji Ardhi na Uthamini mali (Land Management and valuation Consultant ) Bwana Joseph Didas Kessy wa kwanza ( kushoto ) akitangaza nia ya kugombea jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM ) mbele ya Waandishi wa Habari ambao hawapo kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) leo jijini Dar es Salaam , na Kulia ni Bwana Lucas Shirima ambaye ni ndugu yake aliyemsindikiza.

(Picha na Anna Itenda wa Maelezo.)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment