Waziri wa Habari ,Utamaduni na Michezo Captain Mstaafu George Mkuchika akisalimiana jana nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na wanafunzi wa Darasa la Saba wa Shule ya Msingi Nkuhungu mkoani humo. Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali za uendeshaji wa vikao vya Bunge la Tanzania.
(Picha Na Tiganya Vincent) -MAELEZO-Dodoma.
wanafunzi wa Nkuhungu na Waziri wa Habari!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment