MWANDAAJI WA MISS USAGARA TANGA AKABIDHIWA CHETI!!

Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Brothers Entertainment Nassor Makau akimkabidhi cheti cha ushiriki Mwaandaaji wa Miss Usagara 2010 Asia Msangi katika makao makuu ya Kampuni hiyo Mtaa wa Ring jijini Tanga.

MWANDISHI wa habari wa gazeti la Majira Mkoani Tanga,Benedict Kaguo akisalimiana na Mratibu wa Miss Usagara 2010,Asia Msangi muda mfupi baada ya kukabidhiwa cheti cha kuandaa mashindano hayo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Brothers Entertainment Nassor Makau (hayupo) pichani makao makuu ya kampuni hiyo Mtaa wa Ring jijini Tanga.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment