Baadhi ya wagombea uongozi katika Klabu ya Yanga John Rupia kulia na Ramadhani Mzimba wakitangaza nia yao ya kugombe nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji ya klabu hiyo katika uchaguzi wa viongozi wa Yanga utakaofanyika Kesho kwenye ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam.
WAENDELEA KUJITOKEZA KUGOMBEA UONGOZI YANGA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment