MAHARUSI HAWA WALIMEREMETA VYAKUTOSHA!!

Alexander Marwa na mke wake Mbumi Mwakalinga wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao hivi karibuni katika Kanisa la Mt.Petro Oysterbay na kufuatiwa sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Banora karibu na Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Wakiwa na nyuso za furaha si wengine ni bwana na bibi harusi Zubery Ibrahim na mkewe Washwa Masoud wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa yao katika msikiti wa kichangani Magomeni na kufuatiwa na tafrajia iliyofanyika katika ukumbi wa Annex Magomeni jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment