WACHINA WAGOMEA FUNGUO ZA VYUMBA, MAZOEZI YA RIADHA YACHELEWA KUANZA!!

Baadhi ya wajumbe wakamati ya Utendaji wa chama cha Riadha Tanzania RT wakijadiliana jambo baada ya wafanyakazi wa uanja wa taifa wachina kukataa kufungua milango ya vyumba vilivyopo katika uwanja huo ili waweze kuchukua vifaa vya michezo ambavyo vilikuwa vimehifadhiwa humo.

Wanariadha wanao shirikia katika mashindano Riadha ya 49 ya Taifa yanayofanyika katika uwanja wa Taifa wakishindana kukuimbia urefu wa mita 100, hata hivyo zoezi hilo kwa namana nyingine lilikwamishwa na wafanayazi wa kutokam china wanaojengam uwanja huo wa Taifa walikataa kutoa fungua kwa ajili kufungua ili wanamichezo hao waweze, kuchukua vifaa vyao vya mazoezi kutokana na taitzo la kimawasiliano hata hivyo baadae funguao hizo zilitolewa na vifaa kuchukuliwa.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment