RASHID MATUMLA NA MADA MAUGO KUTIMUANA NGUMI KESHO (PTA)

Wanamasumbwi Rashidi Matumla (kushoto) na Mada Maugo wakitambiana Mbele ya Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo wakati walipofika kupima uzito na kuelezea Mpambano wao wa kesho utakaofanyika katika Ukumbi wa PTA barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.mpambano huo umeandaliwa na Chama cha ngumi Tanzania TPBO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment