WACHAMBUZI WA SOKA KOMBE LA DUNIA TBC NI FULL KULIPUKA!!

Wachambuzi wa soka wakiwa katika studio za TBC1 kabla ya kuanza kwa mpambano wa fainali kombe la Dunia la FIFA kati ya Hispania na Uholanzi nchini Afrika Kusini usiku huu kuanzia Kushoto ni PENDAEL OMARI,ADOLF RISHARD,CHACHA MAGINGA,EDO KUMWEMBE,SEKILOJO CHAMBUA na AHMED SALUM. Wana FULLSHANGWE tunawapongeza sana TBC 1 kwa kuwang'arisha hao wachambuzi kwani kwanza mnaipendezesha Studio lakini pia mnalipeleka Shirika la Unangazaji la TBC kwenye anga zingine za kimataifa kwa muonekano hongereni sana Wadau.

(Picha kwa hisani ya www.janejohn5.blogspot.com)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment