Mpambano kombe la Dunia la FIFA unaoendele nchini Afrika Kusini kwenye jiji la Johanesburg uwanja wa Soccercity kati ya Hispania na Uholazi dakika 90 zimemalizika na timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Bila kuchelewa dakika 30 zimeongezwa hivi sasa mpira unaendelea ukiwa katika ushindani mkubwa hebu tusubiri tuone nani mbabe katika mabingwa hao wapya katika michauano ya komba la dunia kwa mwaka huu kwani hakuna timu iliyowahi kuchukua kombe la dunia kati yake.
DAKIKA 90 HAKUNA MBABE ZIMEONGEZWA DAKIKA 30!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment