Vodacom Miss kanda ya kaskazini apatikana!!

Vodacom Miss kanda ya kaskazini Glory Mwanga(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa pili Prisca Mkonyi(kulia) pamoja na mshindi wa tatu Jally Murrei(kushoto)shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

Warembo walioshiriki katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Vodacom Miss kanda ya kaskazini wakiwa katika vazi la jioni.

Warembo walioshiriki katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Vodacom Miss kanda ya kaskazini wakisakata muziki kwa ufunguzi rasmi wa kinyang’anyiro hicho.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment