Mabondia Rashidi Matumla (kuliaa) na Mada Maugo wakichuana katika mpambano wao uliofanyika katika katika ukumbi wa PTA jijini Dar es salaam jana. Katika pambano hilo Maugo alishinda kwa pointi. Hatua iliyomfanya Matumla kutangaza kustafu mchezo wa ngumi. Matumla alitangaza kuwa kocha wa Ngumi kuanzia sasa. Habari kwa hisani ya www.burudan.blogspot.com .
RASHID MATUMLA BAHATI MBAYA TENA KWA MADA MAUGO (PTA)
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment