Mwenyekiti CUF Profesa Ibrahim Lipumba akimpongeza Mwenyekiti wa CCM taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma jana.
Msanii Dokii akiwatumbuiza wajumbe wa MkutanoMkuu wa CCM katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma jana.
Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya mrisho Kikwete pamoja na katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba wakati wa mkutano mkuu wa CCM unaofanyika mjini Dodoma(picha na Freddy Maro)






0 comments:
Post a Comment