Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma!!

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano mkuu wa CCM katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo asubuhi.

Katibu Mkuu wa CCm Yusuf Makamba aakimkabidhi Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete kadi maalumu ya viongozi waliwahi kushika nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho.makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa CCm huko Kizota mjini Dodoma leo asubuhi(picha na Freddy Maro)




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment