KINONDONI MABINGWA WAPYA WA COPA COCACOLA!!

Wachezaji wa timu ya KINONDONI mabingwa wa michuano ya COPA COCA COLA wakipewa medali na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo JOEL BENDERA jana kwenye uwanja wa Uhuru mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo na timu hiyo kuibuka mabingwa wapya. Picha kwa hisani ya www.janejohn5.blogspot.com

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment