VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI KISIMA KIJIJI CHA KANYENZE!!

Mtoto Fatuma Abdalah, mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro akipampu maji katika kisima kirefu wakati wa uzinduzi wa Kisima hicho kilichojengwa kijijini hapo kwa msaada wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom kupitia mfuko wake Vodacom Foundation juzi. Kulia ni Meneja wa Mfuko wa Vodacom Yessaya Mwakifulefule aliyekabidhi msaada huo, Katikati Afisa wa Mfuko Grace Lyon na mkazi wakijiji hicho Aeshi Idd. (Picha na Mpigapicha wetu).

Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule akimtwisha ndoo ya maji Aeshi Idd mkazi wa Kinyenze Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro akipampu maji katika kisima kirefu wakati wa uzinduzi wa Kisima hicho kilichojengwa kijijini hapo kwa msaada wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom kupitia mfuko wake Vodacom Foundation juzi.(Picha na Mpigapicha wetu).

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment