Wadau tunaomba mtusamehe tumekuwa hatuwaletei matukio kwa wakati kutokana na tatizo la mtandao ambao kwa siku kadhaa sasa umekuwa ukisumbua sana hivyo tunaomba mtuvumilie wakati wataalam wa Seacom wanaendelea na marekebisho yao tunaahidi kwamba mara mambo yatakapokuwa yametengamaa tutarusha matukio kwa wakati.
Tunaomba radhi kwa uliotokea kwa wadau wetu kutokana na matatizo ya mtandao!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment