Rais Kikwete ampokea Rais Luiz Inacio Lula Da Silva!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Rais Luiz Inacio Lula da Silva muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania.

Rais wa brazil Luiz Inacio Lula da Silava wa Brazil akikaribishwa kwa maua muda mfupi baada ya kuwaisili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa jijini Dar es Salaam jana jioni.Pembeni yake ni mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.

Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana jioni(picha na Freddy Maro)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment