SERENGETI BREWERIERS NA FIESTA JIPANGUSE 2010!!

Kutoka Wanaume TM ni Mh Temba na Chege Chigunda walikishambulia jukwaa vilivyo usiku wa kuamkia leo ndani ya Laliga Club wakati wa tamasha la Fiesta Jipanguse 2010.Tamasha hilo mdhamini wake mkuu ni kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers. (PICHA KWA HISANI YA MICHUZIJUNIOR)

Mkali mwingine wa hip hop bongo Mwana FA akikamua vilivyo jukwaani mbele ya umati mkubwa wa watu uliofurika ndani ya Laliga usiku wa kuamkia leo.

Kama kawa Mwamba wa Kaskazi bado unaendelea kusumbu kwa makamuzi ,Pichani Joe Makini akikamu vilivyo jukwaani.

Wafalme wa raha kamili hudumu zaidi nao wakitumbuzia mbele ya watamazaji wa Fiesta Jipanguse,wa tatu kulia ni msanii kutoka THT aitwaye Mataluma akitumbuiza nao.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment