Rais Kikwete apiga kura Kizota na kushangiliwa na wajumbe wa mkutano mkuu!!

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakitoka nje wa ukumbi wa mkutano wa Kizota wakati wa mapumziko mafupi ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa.(Picha na Freddy Maro)

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Bi.Ashura Abeid Faraji kutoka Zanzibar akimsalimia mwenyekiti wa CCM , Rais Jakaya Mrisho Kikwete nje ya ukumbi wa mikutano wa Kizota wakati wa mkutano mkuu wa CCM unaofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakitoka nje wa ukumbi wa mkutano wa Kizota wakati wa mapumziko mafupi ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa.
Wahudumu wakibeba visanduku vya kura tayari kwenda kuhesabiwa baada ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kupiga kura leo mchana(picha na Freddy Maro)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM wakishangilia baada ya jina la Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete kupitishwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM leo mchana(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment