Familia ya marehemu mchungaji Misheli wa kigamboni Dsm inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Singo desire kilichotokea alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili.maziko yanatarajia kufanyika jumatano wiki hii huko mjini Bagamoyo.
Marehemu alinza kuumwa akiwa nchini China mwezi mmoja uliopita ambapo alikuwa akisumbuliwa na uvimbe kwenye kichwa.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na dada yake Angella Msangi wa TBC One kwa namba 0782 297408 na 0713 297408 na 0758 297408. Msiba uko Kigamboni kwa mama yake.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na dada yake Angella Msangi wa TBC One kwa namba 0782 297408 na 0713 297408 na 0758 297408. Msiba uko Kigamboni kwa mama yake.

0 comments:
Post a Comment