Rais Kikwete awatambulisha Bilal na Shein Jamhuri Stadium, awahutubia wananchi!!

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiingia katika uwanja wa michezo wa Jamhur mjini Dodoma leo jioni (Picha na Freddy Maro)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma leo jioni wakati wa kuwatambulisha mgombea mwenza na mgombea Urais wa Zanzibar leo jioni.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha mgombea mwenza Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wananchi wa mji wa Dodoma leo jioni katika hafla fupi iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment