AY ALONGA NA WANAHABARI MJINI ZANZIBAR LEO!!

Mwanamuzikiwa muziki wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Ambwene Yesaya (AY) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya Al Sayyida Zanzibar leo trh 12th July 2010 kabla ya kufanya onyesho lake katika tamasha la nchi za Jahazi ZIFF linaloendelea visiwani Zanzibar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment