MO atetea jimbo lake la singida mjini achukua fomu

Mohammed Dewji akipokea fomu ya kuwania ubunge wa jimbo la Singida mjini kutoka kwa Katibu wa CCM Manispaa ya Singida Merry Maziku leo kwenye ofisi za chama hicho.

MO akiwa kwenye kikao cha pamoja na watangaza nia ya kugombe ubunge wa majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Singida jana, wakiwemo Diana Chilolo Mohamed Misanga na wengine, jumla wa wagombea 45 walihuduria kikao hicho.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment