JAPHET RHOBI AOMBA UBUNGE WA KAWE!!

Bwana Japheti Robhi ni Miongoni mwa wanccm 30 (hadi saa kumi jioni) waliochukua fomu za kugombea ubunge kwa majimbo ya Wilaya ya Kinondoni ambayo ni Kawe,Ubungo na Kinondoni,Japheti anatarajia kugombea Jimbo la Kawe,anayemkabidhi fomu ni Bwana Abihudi Ernest Shilla Katibu Msaidizi Mkuu(Picha na Maelezo)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment