Hapa wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipokuwa akitambulishwa kwa wageni mbalimbali waliokuwepo katika uzinduzi huo, kesho warembo hao watapanda jukwaani kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe katika kinyang'anyiro cha kumpata mrembo wa Temeke 2010.
Mwenyekiti wa kamati ya Miss Temeke Benny Kisaka amesema zawadi ziko tayari na maandalizi mengine yote yamekamilika ikiwa ni pamoja na burudani ambapo bendi ya B.Band inayoongozwa na mwanamuziki Banana Zorro itatumbuiza usiku huo.
Emezitaja zawadi kuwa mshindi wa kwanza atajinyakulia kitita cha shilingi milioni moja na laki tani wakati mshindi wa pili atapata shilingi miloni moja na mshindi wa tatu atapata shilingi laki nane na washindi wa nne na wa tano watapata shingi laki tatu kila mmoja wakati warembo wengine watapata kifuta jasho cha shilingi laki moja na nusu kila mmoja
Warembo wanaoshiriki katika shindano la Miss Temeke 2010 wakipata kinywaji laini kwenye ukumbi wa Billicanas wakati wa uzinduzi wa nembo ya kituo cha Televisheni cha Clouds uliofanyika hivi karibuni.
MISS TEMEKE KULAMBA MILIONI MOJA NA LAKI TANO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment