FESTO KISWAGA ATANGAZA KUGOMBEA JIMBO LA ISIMANI IRINGA!!

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cah Dar es salaam (UDSM)jijini Festo Kiswaga leo ametangaza nia yake ya kugombea jimbo la uchaguzi la Ismani mkoani Iringa CCM) katika uchaguzi ujao ambapo jimbo hilo hadi sasa linashikiliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi. Mwengine mwenye shati jeupe la mistari ni mwananchi wa Ismani Masika Widman ambae ameambatana na mtangaza nio huyo.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment