Maneno Mbegu achukua fomu za ubunge Kisarawe!!

Mfanyakazi wa zamani wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Maneno Ushindani Mbegu, akikabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kisarawe,Ashura Amanzi fomu za kuomba kuwania ubunge Jimbo la Kisarawe

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment