JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YATOA KITABU CHENYE MAKUBALIANO YA JUMUIYA HIYO!!

Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anaeshughulikia Shirikisho Kisiasa Beatrice Kiraso akionyesha kitabu chenye makubaliano ( TREATY) mbalimbali kuhusu Jumuiya hiyo jijini Dar es Salaam leo alipoongea na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yanaohusu Jumuiya ya Afrika Mashariki. (Picha na Mwanakombo Jumaa)-MAELEZO.

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anaeshughulikia Shirikisho Kisiasa Beatrice Kiraso (kulia) akiongea na wanaandishi wa habari jijini leo kuhusu mambo mbalimbali kuhusu Jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki na amewatoa hofu Watanzania wasiwe na wasiwasi kuhusu shirikisho hilo. (mwingine ) ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari ( MAELEZO) Sozy Mahmoud.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment