GOODLUCK OLE MADEYE AJITOSA KUWANIA UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI!!

GoodLuck Ole Madeye kushoto akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha GoodLuck Madeye ni Mweka Hazina wa Mfuko unaoshughulikia Miradi ya Maendeleo Vijijini tawi la Tanzania ( African Reflections Foundation) na lakini amesema pia wana Mradi Mkuranga mkoani Pwani.

Akiongea na waandishi wa habari jijini leo wakati kukanusha uvumi unaosema kwamba amefuta nia yake ya kugombea. Bw. Madeye amesisitiza atagombea kupitia CCM kama alivyotangaza awali nia yake, hivyo amewataka wanachi wa Arumeru Magharibi kutokuwa na wasiwasi na hilo.

Mwingine ni Naibu Mwenyekiti wa Mfuko huo tawi la Tanzania unaoshughulikia miradi ya Maendeleo Vijijini na Mradi Mkuranga Moani Pwani Issac Mruma.
(Picha na Mwanakombo Jumaa)-MAELEZO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment