ERIC SHIGONGO NA MKUTANO WA DIASPORA MAREKANI!!

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Bw. Eric Shigongo, akitoa mada katika mkutano wa Diaspora wa nchini Marekani, uliyofanyika kwa muda wa siku nne kuanzia Julai 1-4 katika ukumbi wa Marriott, Minneapolis, nchini Marekani, ambapo mada mbalimbali zilitolewa na Watanzania waishio nchini humo na wakazi wa humo.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mh. Ombeni Sefue, akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa GPL, Eric Shigongo nchini Marekani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment