SERENGETI FIESTA "JIPANGUSE" ILIVYOFANA MKOANI MOROGORO!!

Kundi la THT likifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogogoro wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta jipanguse ambapo wasanii mbalimbali walitunmbuiza mwishoni mwa wiki iliyopita tamasha la Fiesta linaendelea mkoani Arusha wiki hii kwa tamasha kubwa la Fiesta kufanyika tena mkoani humo.

Wasanii wengi walifanya mambo makubwa kama unavyomuona Bellnine akifanya mambo yake jukwaani.
Full kujipangusa na Serenget Fiesta kama uavyoona mdau.
Umati mkubwa uliojitokeza kwenye Fiesta katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment