BENKI YA EXIM NA WAJASIRIAMALI MKOANI KILIMANJARO!!

Mmoja wa wajasiliamari wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali. Benki ya Exim iliendesha mafunzo ya wiki moja kwa wanawake wajasiriamali mkoa wa Kilimanjaro , mafunzo hayo ya wiki moja ya Usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali yaliyoendeshwa na benki ya Exim yalimalizika juzi wilayani humo

.Meneja Masoko na Uhusiano wa Benki ya Exim Lida Chiza ,akitoa khanga kama kumbukumbu ya mafunzo ya wanawake wajasiriamali wa wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, mafunzo hayo ya wiki moja ya Usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali yaliyoendeshwa na benki ya Exim yalimalizika juzi wilayani humo

Wanawake wajasiriamali wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimnanjaro wakisikiliza somo la ujasiriamali wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali, mafunzo hayo ya wiki moja yaliyoendeshwa na benki ya Exim yalimalizika juzi wilayani humo. .


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment