‘Sex in the City 2’ ilivyovutia watazamaji mlimani city!!

BAADHI ya wadau walioalikwa kuhudhuria uzinduzi rasmi wa mfululizo wa filamu ya ‘Sex in the City 2’ iliyotengenezwa Marekani na Abu Dhabi, Dubai wakipita kwenye pinki kapeti kuingia kwenye ukumbi wa sinema wa Century uliopo Mlimani City kuhudhuria hafla hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha wetu).

BAADHI ya wageni waalikwa wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa sinema wa Century kabla ya filamu hiyo kuanza kuoneshwa.

Wadau wakiwa wamepozi ili kupata picha za ukumbusho kuhusiana na mfululizo wa filamu ya ‘Sex in the city 2’ iliyokuwa ikiooneshwa rasmi nchini kwa mara ya kwanza.
Wanausalama ‘Bouncers’ hawakuchezea mbali eneo la tukio kuhakikisha usalama kwa wageni waalikwa unakuwepo wakati wote watakaokuwepo katika eneo hilo la ukumbi wa sinema wa Century.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment