VODACOM KUCHANGIA ELIMU KWA KUTUMIA M-PESA!!

Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa kitengo cha M-Pesa Vodacom Tanzania Bw. Exaudi Kiwali (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa uzinduzi wa npango wa Malmaka ya Elimu (TEA) na Kampuni ya Vodacom katika kuchangisha fedha za elimu kwa njia ya M- Pesa uliofanyika kwenye makao makuu ya Vodacom Tanzania Jengo la PPF Tower jijini Dar es salaam kushoto ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji Malmaka ya Elimu Tanzania Bw. Seif Mohamed.
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa kitengo cha M-Pesa Vodacom Tanzania Bw. Exaudi Kiwali (kulia) akimuelekeza Mkurugenzi wa Uhamasishaji Malmaka ya Elimu Tanzania Bw. Seif Mohamed (kushoto) jinsi ya kuchangia elimu kwa kutumia njia ya M- Pesa wakati wa uzinduzi wa kuchangisha fedha kwa ajili ya Elimu nchini, uzinduzi huo umefanyika leo katika makao makuu ya Kampuni ya Vodacom Tanzania jengo la PPF Tower jijini Dar es salaam, wanaoshuhudia tukio hilo katikati ni Franklin Bagalla Mkuu wa kitengo cha mauzo M-Pesa na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Necta Foya.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment