
Rais wa RBP OIL& Industrial Technology Ltd,Mama Rahma Al Kharoos akiongea na waandishi wa Habari jana waliofika katika hoteli ya South Beach,Kigamboni.Mama Rahma aliwakutaniosha watoto wanaoishi katika mazingira magumu toka katika vituo 6 vinavyolea watoto hao pamoja na timu ya Taifa ya wanawake (TWIGA STARS) na kula chakula cha mchana na watoto hao ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika,vituo hivyo ni NEW LIFE,HANANASIFU,UMRA,TANZANIA MITINDO HOUSE,MOTHER TERESA pamoja na CHACHUMA. Picha kwa hisani ya blog ya MTAA KWA MTAA.

Meneja Huduma wa kampuni ya RBP OIL& Industrial Technology Ltd,Ibrahim Khatrush akiwa pamoja na Afisa kutika Ustawi wa Jamii,Bi. Sophia Ally wakipanga namna watakavyogawa fulana kwa watoto ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika inayoadhimishwa tarehe 16 Juni kila mwaka katika.

watoto wakipata chakula cha mchana katika hotel ya South Beach,Kigamboni jana.
0 comments:
Post a Comment