WAFANYAKAZI WA WIZARA YA HABARI WAPEWA SEMINA ELEKEZI!!

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari , Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akifungua mafunzo kwa Maafisa wa Wizara hiyo leo katika ukumbi wa DICC jijini Dar es salaam juu ya utawala bora.
PICHA na Tiganya Vincent-MAELEZO
Viongozi waandamizi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Seth Kamuhanda akifungua mafunzo kwa Maafisa wa Wizara hiyo jana jijini Dar es salaam juu ya utawala bora.

Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakishiriki mafunzo ya utawala bora yanayofanyika jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment