Amesema shirika hilo limaenzisha safari hizo kwa lengo la kupanua zaidi safari zake na kuongeza wigo wa kibiashara katika huduma za safari za ndege zake ambapo baadae pia wanatarajia kuongeza safari hizo ndege angalau mara mbili kwa wiki,ndege ya kwanza ya shirika hilo ilianza safari zake hapa nchini juni 2 mwaka huu.
OMAN AIR YAANZISHA SAFARI ZAKE NCHINI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment