Banda la Bunge lawa Kivutio Maonyesho ya Utumishi Mwanza!!

Mkurugenzi wa kamati za Bunge, Charles Mloka, akiwaeleza wananchi wa Mkoa wa Mwanza waliofika kutembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma namna majadiliano ya Bunge ambayo Taarifa Rasmi za Bunge (Hansard) Zinavyoandaliwa katika vikao vya Bunge na Historia yake. Picha na Owen Mwandumbya
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Jossey Mwakasyuka akitoa Maelezo kwa wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Joseph ya Mwanza kuhusu Maana Kuwepo kwa Siwa Bungeni, Historia yake na Namna inavyotumika katika vikao vya Bunge

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment