Rais Jakaya Kikwete ziarani Mpanda!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua zao la mahindi yanayouzwa katika soko la kimataifa la mazao wilayani Mpanda, mkoa wa Rukwa jana.Pembeni ya Rais ni ofisa wa kilimo Bwana Fredrick Mlowe.(Picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment