Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana(katikati) akitoa ufafanuzi leo jijini Dar es salaam kwa wahariri wa vyombo vya habari hapa nchini juu ya hali ya vyombo vya habari kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2010 na jukumu la vyombo hivyo katika kuitangaza Tanzania kabla ya Mkutano wa Biashara wa Duania unaotarajiwa kuanza mwezi ujao hapa nchini. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia usajili wa magazeti Raphael Hokororo( kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia habari Sozy Mahmoud (kulia)
Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya wahiriri kutoka vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana(hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Idara ya Habari wakati akitoa utaratibu wa kujisajili kwa waandishi wa habari watakaoshiriki katika kuandika habari za Mkutano wa Biashara wa Duania mwezi ujao hapa nchini.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam








0 comments:
Post a Comment