Juma alipata wakati mgumu kuchuja na kuchagua vichwa vinne atakavyo fanya navyo kazi ya kuunda TMK Halisi mpya na yeye awe watano. badala ya halisi iliyokuwa na watu 12. Walio chaguliwa kusaini mkataba huo ni 1 DOLO 2 BABA LEVO 3 JB WA MABAGA FRESH 4 KG SON 5 Juma Nature mwenyewe.
kwa sasa kundi limeshafanya kazi inayoitwa MNATAKAJE? ambayo imeanza kusambazwa redioni ijumaa habari hii kwa hisani ya
http://www.djchoka.blogspot.com/
http://www.djchoka.blogspot.com/





1 comments:
BATURE??????????????
Post a Comment