
Maharusi wakipozi kwa picha katika Harusi yao ya Kufana iliyofungwa katika kanisa la Saint Joseph Cathedral jijini Dar es salaam jumamosi iliyopita kati ya Josep Lamb na Chipo Mwamaso Dada yake mkubwa na Maisha wa Leicester Uingereza na kufuatiwa na sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye ukumbi wa Coco Beach FULLSHANGWE inawatakia maisha mema ya ndoa yao wapendanao hawa mungu awabariki sana

Kaka zake na bibi harusi kushoto Abraham na kulia Maisha wakipokea keki kutoka kwa dada yao Chipo katika sherehe ya harusi yake.

Mamaa Sakina akigonganisha glasi na maharusi

maharusi na wasimamizi wao wakiwa wametulia katika meza kuu

Maharusi wakichukua picha ufukweni na wasimamizi wa harusi yao

Mama Askofu mkuu wa kanisa la KKKT Tanzania mama Erica Malasusa katika picha ya pamoja na bwana Yohana Malasusa

maharusi na wazazi pamoja na ndugu jamaa na marafiki katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa yao.

hapa walikutana wakurugenzi wawili kulia ni mkurugenzi wa ASET Asha Baraka na kushoto Mkurungenzi wa Mashujaa Investment mamaa Sakina na katika kaka wa bibi harusi Maisha.
0 comments:
Post a Comment