KWEA PIPA NA COCACOLA WAPOKEA ZAWADI ZAO!!

Baadhi ya viongozi wa Bonite wakiwa katika meza kuu kutoka kushoto meneja Uajili Dominic Urasa,Meneja tawi la Arusha, Mongola Segule, Meneja wa fedha Gi
baahi ya washindi wakiwa katika hafla hiyo

Meneja uajili wa kiwanda cha Bonite Dominick Urasa akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa zawadi ya TV katika promosheni ya Kwea pipa na ushinde inayoendeshwa na Cocacola.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment