Wafuasi wa upinzani nchini Togo, ambao wamekataa kukubali ushindi wa rais Faure Gnassingbe wamesisitiza kuwa wataendelea na maandamano yao.
Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi, kuwatawanya mamia ya wafuasi hao wa upinzani, waliokuwa wakiandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Lome, hapo jana.
Viongozi wa upinzani wamehaidi kubuni serikali shindani siku chache zijazo. Bwana Gnassigbe alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais siku ya jumamosi. Familia ya rais Gnassibge imekuwa ikitawala nchi hiyo kwa zaidi ya miaka arobaini.

0 comments:
Post a Comment